SKNFX

KUFUTA MADOA SIO KUTIBU MADOA

Madoa sio tatizo

Ni dalili kwamba Ngozi yako iko vitani

Inapigana na adui usiyemfahamu

Bila kumwondoa adui huyo

Kila siku utakua unafuta madoa
Yana rudi tena

Hivyo hatua ya kwanza Na ya muhimu

Ni kuhakikisha Unamfahamu adui anaekushambulia

Inaweza kua ni

Jua
Homoni
Vipodozi
Chakula
Ngozi ni kavu n.k

Kuhangaika kufuta madoa
bila kujua kinachoishambulia Ngozi

Ni sawa na kupaka rangi
ukuta uliopasuka

Badala ya kuujenga upya

Bahati mbaya

Ni ngumu kujua kinachoishambulia Ngozi
kwa macho tuu

Kwasababu
kinaweza kua ndani au nje ya Ngozi

Bila vipimo sahihi Matibabu inakua ni ya kubahatisha

Kwa vipimo na msaada zaidi
Unaweza kufika ofisini kwetu
Kariakoo,Dar Es Salaam

Gharama ya kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tu
badala ya 35,000/=

Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote

Na utapimwa Ngozi buree kwa wiki hii tu

Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi

Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi

Kama Upo Dar Es Salaam

Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII

[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]

Jaza fomu hii 

Kama Upo Nje Ya
Dar Es Salaam

Au Unahitaji kuwasiliana na sisi

Unaweza kupiga au kutuma meseji whatsapp kupitia

0694655607 

SKNFX@2026