UNATAKA KUONDOA MADOA YA CHUNUSI HARAKA BILA KUJICHUBUA??

Usifanye Hili Kosa Linalofanywa Na Wengi Wakidhani Wanafuta Madoa Kumbe Wanatengeneza Madoa Sugu Zaidi!!

Unapopata Chunusi Usoni 👇👇

Chunusi haiishii tu kutengeneza kidonda juu ya ngozi.

Pia huharibu msingi wa Ngozi yako na kuondoa ulinzi wa asili wa ngozi.!!

Ngozi inapogundua ulinzi wake umepungua
👇👇

Hujaribu Kujilinda Kwa Kuongeza Uzalishaji Wa MELANINI

Na Hapo Ndio Tatizo Linapoanzia!!!

Kwa sababu kazi ya MELANIN sio kulinda ngozi tu…
👇👇

Pia hufanya kazi ya kuipa Ngozi rangi yake nyeusi ya asili

Hivyo inapoongezeka sana sehemu moja…

Eneo hilo pia Weusi huongezeka na kuonekana kama doa usoni.

Kwa hiyo madoa usoni sio uchafu uliokaa juu ya Ngozi tuu

Ni dalili kwamba Ngozi yako inapambana kujilinda kutokea Ndani!!

Kosa Kubwa Wanalofanya Watu Wengi!!

Ni kuhangaika kufuta madoa kwa juu tuu kwa kutumia vipodozi vya kufuta madoa

Wanasahau kwamba

Bila kurejesha ulinzi wa Ngozi

Ngozi itaendelea kuzalisha MELANIN nyingi zaidi ili kujilinda

Na Madoa yataendelea kusumbua

Ukitaka Kuondoa Madoa Bila Kujichubua Ni Lazima 👇👇

1.Ujenge tena ulinzi wa ngozi ulioharibiwa na chunusi

2.Uisaidie ngozi izalisha kiwango sahihi cha melanin

3.Uondoe taratibu melanin iliyokusanyika tayari juu ya Ngozi na kuonekana kama madoa

Ukifanya hayo mambo 03

Madoa Yataisha Haraka Bila Kujichubua

⚠️Tatizo Kubwa Ni Kwamba!!!

Utalazimika kununua vipodozi 03 au zaidi!!

Ambavyo Vitakua Ni gharama kubwa

🔥Suluhisho Rahisi Na La Kudumu🔥

Ni kutumia Hii Bidhaa Moja Tuu  Yenye uwezo wa kufanya Kazi zote 03
👇👇

Bidhaa Hii itakusaidia kutibu chunusi zisirudi tena na kuondoa madoa kwasababu imetengenezwa kwa hivi viambata 06 muhimu

1.Ceramides,lipids,
cholesterol

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi na kurejesha ulinzi wake wa asili

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Vitamin C

Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa

5.Pethanol,B glucan

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

6.Peptides

Huondoa mikunjo usoni

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Baadhi ya Wateja Wetu Walikua Na Haya Yakusema

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!