Sabunicream,scrubserum n.k
hufuta madoa vizuri sana kwa nje
Lakini hazizuii Ngozikuendelea kuzalisha madoa mapya
Ndio maana mara nyingi madoa hayo hurudi tena
ata baada ya kutumia vipodozi vya gharama sana
Sio kwa sababuDawa hazifanyi kazi au ni feki
Ni kwasababu
Madoa kwenye Ngozi sio tatizo
Ni njia ya Ngozi kujilinda
Unapokua na Madoa
Ni dalili kwamba Ngozi yako iko vitani
Na hayo MadoaNdio askari wanaotengenezwa ili kukulinda
Wewe unadhani Unafuta madoa
Kumbe unaua maaskari wako
Na Ngozi haiwezi kukubali Kukaa bila maaskari wake
tena wakati wa vita
Ndio maana
Ata ufute vipi madoa itayazalisha tena ili kujilinda
Unabaki kudhania madoa yako ni sugu
Kumbe ni Ngozi yako inapambana kukulinda
Hivyo hatua ya kwanza kwenye kutibu madoaNi kurejesha uwezo wa Ngozi yako kujilinda
Ukiendelea kutumia vipodozi vya gharama bila kufanya hivyo
Utakua unajenga nyumba nzuri ya gharama Kwenye msingi mbovu
Kuna HATUA 4 za kufuatakama unataka kurejesha uwezo wa Ngozi yako kujilinda
Na kujenga msingi imara wa ngozi Yako
Kama Unahitaji Kuzifahamu
Jaza Taarifa Zako Hapo Chini Kutumiwa BUREE WHATSAPP
Hakuna Longolongo wala Kuungwa ovyo kwenye magroup