QUIZ YA HARAKA
UMETUMIA KILA AINA YA VIPODOZI
WEKUNDU/WEUSI UNAISHA LAKINI
BAADAE UNARUDI TENA
Jibu haya maswali 09 rahisi kufahamu sababu
Ili usiishie kupata Weusi sugu zaidi baadae
1.Ukipigwa jua kidogo tuu wekundu/weusi unaongezeka??
2. Umewahi kutumia kipodozi kilichoondoa wekundu/weusi haraka… lakini ulipoacha kutumia tatizo likarudi na uso ukafubaa zaidi kuliko mwanzo?
3.Je unadhani ni kwanini kila ukiacha tuu kutumia vipodozi tatizo linarudi tena
4.Umejaribu kubadili vipodozi mara kwa mara lakini bado tatizo linaisha na linarudi tena
5. Bila kupaka cream… uso wako unafubaa zaidi na inakulazimu kuendelea kuipaka ili uonekane kawaida?
6.Unadhani baadhi ya cream hazitibu tatizo ila zinalificha tuu kwa muda na ndio maana ukiacha tuu kuzipaka tatizo linaonekana tena
7.Wekundu/Weusi unaporudi ukiwa sugu zaidi kuliko mwanzo unahisi kama tatizo linazidi kuongezeka
8. Kama tatizo linaendelea kuongezeka… unahisi baadhi ya vipodozi vilivyokusaidia kwa muda huenda vilikua vinaongeza tatizo bila wewe kugundua?
9.Unatamani kuacha kuendelea kupaka cream lakini ni kama umenasa kwenye mtego ambao hauwezi kutoka
Asant kwa kujibu Maswali yote
Jaza Taarifa zako hapa ili kutumiwa majibu yako
Bonyeza Hapa kujaza Taarifa zako