Asante Sana Kwa Kuhitaji Bidhaa Yetu
Lakini Kwasababu haupo Dar Es Salaam
Hatuwezi kukutumia mzigo mkoani labda ULIPIE KWANZA
Kama unawasiwasi sana wa Kuibiwa ukituma pesa yako USIHANGAIKE KUWEKA ODA
Gharama pamoja na usafiri ni 30,000/= tuu
Kama uko tayari KULIPIA KABLA haujatumiwa mzigo bonyeza hapa tuwasiliane nikupe utaratibu wa wapi utume pesa