Kama Una Madoa tumia hii seti ya kufuta madoa
Isiyo Na Chunusi, Madoa, Mikunjo Wala Kasoro Yoyote Hata Kama Ngozi Yako Ni Korofi Imegoma Kutakata
Kama Una Madoa tumia hii seti ya kufuta madoa
Kama Una Melasma tumia hii seti ya kufuta melasma
Kama una wekundu na mabaka usoni tumia hii face cream
Kama Una mikunjo tumia hii seti ya kunyoosha uso
Kama Una Chunusi tumia hii cream ya kukausha chunusi
Kama Uso unawasha na kuchomachoma tumia hii
UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI?
Chunusi bado zinajirudia kila mara
Ukiacha tuu cream yako uso unafubaa unakua mweusi tii
Madoa ya chunusi yamegoma kuisha
Wekundu umegoma kuisha
Mikunjo bado inakusumbua
Uso unazidi kufubaa
Uso unazidi kuwasha na kuchomachoma
HIKI KITU KIMOJA
Na unapokua na shida yoyote usoni kama chunusi, madoa, melasma, mabaka, wekundu n.k
Ni sawa na ukuta wa nyumba yako umepasuka.
Ukuta wa nyumba yako unapokua umepasuka utafanya nini ili urudi kama zamani??
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ataujenga upya huo ukuta kisha ataupamba kwa kupiga plaster, kuupaka rangi n.k
Ni chizi pekee ndio anaweza kukimbilia kuupaka rangi ukuta huo bila kuujenga upya na huo ukuta hautapendeza, hautadumu na ataishia kupoteza tuu pesa
Unapokimbilia vipodozi vya kukausha chunusi, kufuta madoa, mabaka, wekundu n.k ni sawa na kukimbilia kupaka rangi ukuta uliopasuka badala ya kuujenga upya kwanza.
Utakua unapoteza muda na hautapata matokeo mazuri na ya kudumu.
UKWELI NI KWAMBA HAKUNA KIPODOZI KITAKUSAIDIA USIPOANZA KWA KUJENGA UPYA NGOZI YAKO
NI LAZIMA UWE NA HIVI VITU 05 MUHIMU
Matofali Ya Kujengea
Bila matofali hauwezi kujenga ukuta
Saruji/Cement
Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali pamoja
Maji Ya Kujengea
Maji ni muhimu kwenye kuchanganyia cement na mchanga
Fundi Wa Kujenga
Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali, kuchanganya cement n.k
Mlinzi Wa Ukuta
Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza.
Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.
USIWE NA CHINI YA
175,000/=LAKINI BAADAE UTAJUTA
Ukizitumia utatakata ndani ya siku tatu tuu.
Hakuna chunusi, madoa, mabaka, wekundu wala makunyanzi yatabakia.
Lakini baada ya muda unaweza hisi zimekukataa.
Uso utaharibika zaidi na ukiendelea kubadili facecream bila kujenga upya ngozi yako utajikuta uso wako umefika hivi.
SWIPE KULIA KUONA PICHA ZAIDI
→
SULUHISHO LA KUDUMU NI KUJENGA KWANZA USO WAKO
YENYE HIVYO VIAMBATA 05 MUHIMU
HAICHUBUI
INATUMIKA KWA NGOZI AINA ZOTE
BEI YAKE NI NAFUU SANA
Osha na usafishe uso wako vizuri.
Kausha uso wako kwa upole bila kuusugua.
Baada ya kuosha uso wako, paka SKNFX Barrier Repair Gel.
HATUA 03 TUU RAHISI KUFUATA
SWIPE KULIA KUTAZAMA VIDEO ZAIDI
→HAWA NI BAADHI YA WATEJA WALIOITUMIA
SWIPE KULIA KUSOMA SHUHUDA ZAIDI
→
LAKINI UKIAGIZA LEO UTALIPIA
Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni
Kupunguza mafuta na chunusi
Kung’arisha ngozi
BEI YAKE HUA NI 25,000/=
KAMA UNAHITAJI HII BIDHAA LAKINI SIO LEO
JAZA TAARIFA ZAKO HAPA →Mtaa wa Kariakoo na Jangwani, Dar es Salaam
Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 12 jioni
Unapaka baada ya kuosha uso wako.
Inafaa kwa ngozi aina zote.
Chupa moja inatumika mwezi 01 hadi 02.
Ndio.
Ndio, delivery ya Dar es Salaam ni buree.
Mkoani utatuma kwanza 5,000/= alaf pesa inayobaki 30,000/= utamalizia ukishapokea mzigo.
Zawadi ya facewash ni kwa watu 10 tuu watakaowahi.
Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakaowahi leo.
Ndio, lakini utalipia 25,000/=
Malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.