Kama una uso wa mafuta…
Unaweza kutumiaBidhaa zozote za kukausha mafuta.
Zitakusaidia sana
Lakini baada ya mudamafuta huongezeka tena usoni.
Sio kwa sababubidhaa hizo ni feki.
Wala sio kwamba hazifanyi kazi.
Ni kwa sababu
MafutaNi sehemu ya ulinzi wa ngozi yako.
Wewe unadhaniunaondoa mafuta…
Kumbe unaondoa ulinzi wa ngozi yako
Na ngozi haiwezi kukaa bila ulinzi.
Ndio maanaInazalisha mafuta mengine.
Hivyo hata ukaushe vipi mafuta,lazima yarudi tena
Ni sawa na
bomba limepasukandani ya nyumba…
Wewe unahangaika
kudeki maji,badala ya kuziba panapovuja.
Na ndio maana
Hata vipodozi vya gharama vya kukausha mafuta
Hufanya kazi kwa muda tu
Mafuta mengi usoni sio tatizo.
Ni dalili ya tatizo lililojificha kwenye ngozi.
Na huwezi kulibaini tatizo hilo kwa kuangalia kwa macho tuu
Bila vipimo sahihi
Kila siku utakua unaongeza zaidi mafuta
Badala ya kupunguza
Kwa vipimo na msaada zaidiUnaweza kufika ofisini kwetuKariakoo,Dar Es Salaam
Gharama yakuonana na mtaalamu ni 10,000/= tu
badala ya 35,000/=
Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote
Na utapimwa Ngozi bureekwa wiki hii tu
Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi
Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi
Kama Upo Dar Es Salaam
Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII
[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]
Jaza fomu hii