SKNFX

Hatua Ya Kwanza Kama Unataka Kupambana na Mafuta Mengi Usoni

Watu wengi
Hudhani wamezaliwa na ngozi za mafuta

Kitu ambacho sio kweli

Hivyo hatua ya kwanza ni kujua

Je ni kweli

Wewe umezaliwa na Ngozi ya mafuta??

Kama haujazaliwa na Ngozi ya mafuta

Je ni kwasababu

Unachanganya vipodozi??
Unatumia vipodozi vikali bila kujua??
Mabadiriko ya homoni??
Ngozi yako ni kavu??
Ngozi yako inareact na baadhi ya vipodozi??

Shida ni kwamba

Huwezi kuvigundua

Hivyo vyote kwa kuiangalia ngozi kwa macho tuu

Bila vipimo sahihi

Badala ya kupunguza

Utajikuta unaongeza zaidi mafuta

Kwa vipimo na msaada zaidi
Unaweza kufika ofisini kwetu
Kariakoo,Dar Es Salaam

Gharama ya
kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tu

badala ya 35,000/=

Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote

Na utapimwa Ngozi buree
kwa wiki hii tu

Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi

Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi

Kama Upo Dar Es Salaam

Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII

[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]

Jaza fomu hii 

SKNFX@2026