UMECHOKA KUTIBU WEUSI UNAOISHA NA KURUDI KILA UNAPOACHA KUPAKA CREAM??

Usiendelee Kufanya Hili Kosa 01 Ukidhani Unaondoa Weusi Kumbe Unatengeneza Weusi Sugu  Zaidi Wa Baadae

Huo Weusi Usoni Sio Sawa Na Masizi Juu Ya Sufuria Kama Wengi Wanavyodhani
❌❌

Hivyo Haiwezekani Kuondoa Milele Kwa Kuusugua na Scrub Au Cream Kali Zinazoufuta Kwa Juu Tuu!!!

Unapolazimisha Kuuondoa Kwa Cream Kali Unakua Unaharibu Ngozi Zaidi Kwasababu

Unakua Unaondoa MELANINI kwenye Ngozi Ambayo Hufanya Hizi Kazi Mbili Muhimu

Huipa Ngozi yako rangi yake ya asili

Hufanya kazi kama maaskari wanaolinda Ngozi yako

Unapoondoa MELANINI kwa Nguvu Weusi Hupungua Haraka Lakini!!!

Unakua Umetengeneza tatizo zaidi kwasababu pia umeondoa Ulinzi Wa asili wa ngozi yako

Sasa Inapotokea cream imeishiwa nguvu au umeacha kuitumia

Ngozi hujaribu kurudisha rangi yako ya asili na ulinzi wa Ngozi yako kwa kuzalisha MELANIN nyingi zaidi usoni

Matokeo Yake

✅Weusi Unarudi Na Kuongezeka zaidi usoni

Uso unafubaa zaidi

Hivyo unalazimika kubadili kipodozi au kutafuta chenye nguvu zaidi ili ung’arishe tena Ngozi yako

Mwisho wa siku unajikuta umenasa kwenye huu mtego bila kujua

1.Unatumia kipodozi cha kung’arisha uso

2.Kinapunguza MELANINI kwenye ngozi

3.Uso unang’aa na kupendeza

4.Ngozi inakosa ulinzi wa asili

5.Inazalisha melanin nyingi zaidi kurudisha ulinzi

6.Weusi unaongezeka zaidi na uso unafubaa

Ili Utibu Weusi Na Usirudi Tena

1.Ujenge tena ulinzi wa ngozi ulioharibiwa na chunusi

2.Uisaidie ngozi izalisha kiwango sahihi cha melanin

3.Uondoe taratibu melanin iliyokusanyika tayari juu ya Ngozi na kuonekana kama madoa

Ukifanya hayo mambo 03

Weusi Utaisha Haraka Na Hautarudi  Tena

⚠️Tatizo Kubwa Ni Kwamba!!!

Utalazimika kununua vipodozi 03 au zaidi!!

Ambavyo Vitakua Ni gharama kubwa

🔥Suluhisho Rahisi Na La Kudumu🔥

Ni kutumia Hii Bidhaa Moja Tuu  Yenye uwezo wa kufanya Kazi zote 03
👇👇

Bidhaa Hii itakusaidia kuondoa weusi Na usirudi tena kwasababu imetengenezwa kwa hivi viambata 06 muhimu

1.Ceramides,lipids,
cholesterol

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na cream kali na kurejesha ulinzi wake wa asili

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Vitamin C

Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa

5.Pethanol,B glucan

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

6.Peptides

Huondoa mikunjo usoni

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Baadhi ya Wateja Wetu Walikua Na Haya Yakusema

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!