KILA SIKU UNABADILI VIPODOZI LAKINI BADO HAUPATI MATOKEO MAZURI??

Sabuni Yako Inaweza Kua Inasababisha Hata Vipodozi Vyako Vya Gharama Visifanye Kazi Bila Wewe Kujua!!

Mwanamke mwenye ngozi kavu na inayokakamaa baada ya kuosha uso
Sabuni unayotumia kila siku inaweza kuwa sehemu ya tatizo.
ANGALIA SULUHISHO

TATIZO WENGI WANAPOOSHA USO NA SABUNI NA KUONA BAADHI YA HIZI DALILI 06 HUJIDANGANYA KWAMBA HIYO SABUNI NDIO INAFANYA KAZI VIZURI

01

Uso unakua mkavu

02

Mafuta yanakauka

03

Ngozi inakua ngumu sio laini

04

Muda mwingine hadi inakakamaa

05

Unahisi hadi ngozi inavuta

06

Muda mwingine hadi unawashwa na kuchomwachomwa

HIZO SIYO DALILI NZURI

HIZO NI DALILI KWAMBA UNAHARIBU USO WAKO

Kwa kuondoa ulinzi juu ya Ngozi yako bila wewe kujua.

Mchoro unaoonyesha tofauti kati ya ngozi yenye ulinzi na ngozi yenye ulinzi ulioharibika

Ngozi inapobaki bila ulinzi

Vipodozi vilivyotakiwa kukusaidia huingia ndani zaidi

Ambako havitakiwi kufika na kusababisha matatizo zaidi!!!

HIVYO UNAPOPAKA VIPODOZI VYA KUKUSAIDIA UNAKUA KAMA UNAZIMA MOTO KWA PETROLI!!!

MATOKEO YAKE

Chunusi Zinakua zinajirudiarudia

Madoa Yanagoma Kuisha

Uso unakua na rangi mbili

Mabaka yanakua yanarudi au kuongezeka ukiacha tuu cream

Ngozi inafubaa inakosa nuru

Ngozi inazidi kua kavu

Mikunjo inaongezeka unaonekana mzee kuliko umri wako

Vipodozi Vinakua vinakuwasha na kukuchomachoma ukipaka

UKWELI NI HUU

HAKUNA KIPODOZI KITAKACHOKUSAIDIA

Ukiendelea kubomoa ngozi yako kila siku kwa kutumia sabuni au facewash zisizofaa.

SULUHISHO

USIENDELEE KUHARIBU USO WAKO KILA SIKU TUMIA HII AMINO ACID CLEANSER

AMINO Acid Cleanser

Itakusaidia Kusafisha ngozi yako bila kuibomoa zaidi matokeo yake

Chunusi na madoa vitaisha kwa urahisi

Weusi mashavuni na chini ya macho utaisha

Wekundu mashavuni pia utaisha

Mikunjo itapungua

Utabaki na rangi moja yenye afya

ANGALIA OFA YA LEO
MATOKEO YA WATEJA

USIAMINI MANENO YETU TUU!!! HAWA NI BAADHI YA WATEJA WETU

Telezesha kuona picha nyingine

Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
Matokeo ya mteja wa Amino Acid Cleanser
1 / 10
VIAMBATA MUHIMU

HIVI NDIO VITU 05 VINAVYOIFANYA BIDHAA HII KUKUPA MATOKEO YA UHAKIKA

AMINO Acid Cleanser pamoja na viambata vyake muhimu
01

CERAMIDES

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi, vipodozi, jua n.k.

02

HYALURONIC ACID

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu.

03

NIACINAMIDE

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta.

04

PETHANOL

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi.

WATEJA WETU

HAWA NI WATEJA WETU WENGINE WALIKUA NA HAYA YA KUSEMA

Telezesha kuona ushuhuda mwingine

Ushuhuda wa mteja kuhusu AMINO Acid Cleanser
Ushuhuda wa mteja kuhusu AMINO Acid Cleanser
Ushuhuda wa mteja kuhusu AMINO Acid Cleanser
Ushuhuda wa mteja kuhusu AMINO Acid Cleanser
Ushuhuda wa mteja kuhusu AMINO Acid Cleanser
1 / 5
SABABU 04

HIZI NDIO SABABU 4 WANAWAKE WENGI WANATUMIA BIDHAA HII

AMINO Acid Cleanser inayosafisha ngozi kwa upole
01

HAICHUBUI

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya.

02

HAIBAGUI NGOZI

Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi.

03

INAOKOA SANA MUDA

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi.

ANGALIA OFA YA LEO
HATUA 06 RAHISI

JINSI YA KUTUMIA

Hatua za kutumia AMINO Acid Cleanser
  1. 01

    Lowesha uso

  2. 02

    Tumia kiasi kidogo cha cleanser

  3. 03

    Sugua kwa upole sekunde 20–30

  4. 04

    Osha kwa maji

  5. 05

    Kausha kwa upole

  6. 06

    Paka mafuta yako unayotumia kila siku

ASUBUHI NA JIONI

WATU 10 TUU OFA YA LEO

UKIAGIZA CHUPA 01 LEO UTAPEWA CHUPA NYINGINE YA PILI BUREE

Ofa ya kununua AMINO Acid Cleanser moja na kupewa nyingine bure
LEO UTALIPIA 25,000/=
Badala Ya 45,000/=
UTAPEWA FACEWASH 02

Kwa kulipia 25,000/= Tuu

Na Kama Utaweka Oda Leo Mapema Utapewa Chupa Nyingine Ya Pili BUREE

KAMA UNAHITAJI KUAGIZA BIDHAA HII LEO KWA BEI YA OFA

Chagua sehemu unayoishi hapo chini

OFISI YETU

SKNFX SKINCARE KARIAKOO, DAR ES SALAAM

ANUANI YA OFISI Kariakoo, Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
MUDA WA KAZI Saa 3 Asubuhi Hadi Saa 12 Jioni
FUNGUA GOOGLE MAPS Pata maelekezo ya kufika ofisini

Unaweza kuagiza bidhaa kwa delivery hata kama huwezi kufika ofisini.

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

01 Inafaa kwa ngozi ya aina gani?

Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi, unatumia bila wasiwasi.

02 Je, bidhaa hii inachubua ngozi?

Haichubui. Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya.

03 Nitumie mara ngapi kwa siku?

Tumia asubuhi na jioni.

04 Nitaiacha usoni kwa muda gani?

Sugua uso kwa upole kwa sekunde 20–30, kisha osha kwa maji na ukaushe kwa upole.

05 Naweza kutumia mafuta yangu baada ya kuosha uso?

Ndiyo. Baada ya kuosha na kukausha uso kwa upole, paka mafuta yako unayotumia kila siku.

06 Ninaagizaje bidhaa hii?

Nenda kwenye sehemu ya ofa, kisha chagua kitufe cha Dar Es Salaam au nje ya Dar Es Salaam.

RUDI KWENYE OFA
LEO 25,000/= CHUPA YA PILI BUREE
ANGALIA OFA