KAMA USO WAKO UKO HIVI??

Hakikisha unaanza kufanya haya mambo 05 muhimu leo hii ili usizidi kuuharibu uso wako ukidhani unatibu tatizo!!!

JAMBO LA 01

ACHANA NA VIPODOZI VYA KUNG’ARISHA KABISA ATA KAMA UNAONA NDIO VINAKUSAIDIA WALAU KWA MUDA

Ni kwasababu vingi vinachubua kimyakimya ata kama muuza vipodozi hakwambii ukweli.

Na ndio maana ukivipaka ndani ya siku 3 tuu unatakata.

Lakini ukiviacha unafubaa tena.

Kuendelea kuvitumia ni kutengeneza tatizo kubwa zaidi la baadae ata kama unaona leo vinakusaidia.

JAMBO LA 02

KUBALI KUFUBAA UKIANZA MATIBABU SAHIHI USIOGOPE KUONEKANA KAMA KINYAGO MBELE ZA WATU!!

Wakati wa matibabu sahihi:

1

Ni lazima utafubaa kidogo.

2

Tena kama umejichubua kwa muda mrefu utakua mweusi tii.

3

Uso utakua kama kinyago cha mpapule.

4

Lakini vumilia ndio kupona kwenyewe.

5

Baada ya hiyo hali kupita wewe mwenyewe utaipenda ngozi yako.

Kulazimisha kupona bila kufubaa wakati wa matibabu ni sawa na kulazimisha kuoga bila kuvua nguo au kutaka kwenda mbinguni bila kufa.

JAMBO LA 03

OSHA/SAFISHA USO WAKO NA VITU VILIVYOPOA

Kutumia sabuni kali, au kusugua uso wako na scrub kwa nguvu haitakusaidia kitu.

Utazidi kuchubua ngozi na kutengeneza wekundu na weusi sugu zaidi.

JAMBO LA 04

TUMIA VIPODOZI VINAVYOFANYA KAZI YA KUJENGA UPYA NGOZI YAKO

Vitakusaidia kuijaza ngozi yako kama imekua nyepesi.

Pia kuiimarisha na kuirejesha katika uasili wake.

Mfano wa ukuta uliopasuka unaoonesha umuhimu wa kujenga upya kabla ya kupaka rangi

Kukimbilia kung’arisha ngozi bila kuijenga upya ni sawa na kupaka rangi ukuta uliopasuka badala ya kuujenga upya kwanza… hautapata matokeo mazuri.

JAMBO LA 05

HAKIKISHA UNATUMIA SUNSCREEN KWA USAHIHI ILI KUJIKINGA NA MIALE MIKALI YA JUA

Bila kupaka sunscreen:

1

Miale ya jua itazidi kukuchoma na kukuunguza.

2

Huo wekundu utazidi kuongezeka na mwisho utaanza kua wekundu au weusi sugu.

Bila sunscreen ata upate matibabu sahihi kiasi gani, utakua unajenga ngozi alaf jua linafanya kazi ya kuibomoa na kukurudisha nyuma.

KIFUPI

ILI UPONE HIYO SHIDA UNAHITAJI HIVI VITU 03 TUU

01

Bidhaa nzuri ya kusafishia uso ambayo haiharibu uso

Hii utaipata kati ya 25,000/= hadi 45,000/=
03

Sunscreen nzuri ya kukulinda

Hii utaipata kati ya 35,000/= hadi 65,000/=
JUMLA UTAHITAJI WALAU UWE NA
105,000/= HADI 195,000/=
SHORTCUT YA BEI CHEE

UKITAKA SHORTCUT TUMIA HIVI VIFACECREAM VYA KUNG’ARISHA VINAUZWA HADI 15,000/=

Utatakata ndani ya siku 03 tuu.

Lakini baada ya miezi 6 au mwaka nina uhakika utarudi uso ukiwa kama picha hapo chini.

Na utakua umeshajaribu kila face cream umechoka.

UKWELI MCHUNGU

USO UKISHAFIKA HII HATUA KUPONA NI NGUMU SANA

Picha nne za karibu zinazoonesha hali tofauti za ngozi ya uso

Utaishia kua mtu wa kujificha kwenye makeup tuu.

Maana utakua umeshajaribu kila face cream ya kung’arisha bila matokeo.

Na itafika siku ata makeup zitadunda.

Hivyo jitahidi ufanye maamuzi sahihi leo hii kabla haujachelewa.

OFA MAALUM YA LEO

KAMA UNAHITAJI KUANZA MATIBABU SAHIHI LEO HII UTAPATA VYOTE HIVYO KWA

75,000/= TUU
BADALA YA KUTUMIA HADI 195,000/=

KUVINUNUA KIMOJA KIMOJA

Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakao weka oda leo.

Seti ya AMINO Acid Facewash, SKNFX Barrier Repair Gel na Anua Zero Cast Sunscreen

KIFUPI UTAPATA:

01

Facewash ya AMINO Acid ya kusafishia uso

03

Sunscreen nzuri ya Anua Zero Cast ambayo haiachi weupe

SETI NZIMA 75,000/= TUU
ANGALIA JINSI YA KUAGIZA
MATOKEO YA MTEJA

HUYU NI MMOJA KATI YA WATU WALIOTUMIA SETI YETU NA KUPATA MATOKEO

Swipe kulia kusoma story yote

01 Sehemu ya kwanza ya story ya mteja wa SKNFX
02 Sehemu ya pili ya story ya mteja wa SKNFX
03 Sehemu ya tatu ya story ya mteja wa SKNFX
04 Sehemu ya nne ya story ya mteja wa SKNFX
05 Sehemu ya tano ya story ya mteja wa SKNFX
06 Sehemu ya sita ya story ya mteja wa SKNFX
07 Sehemu ya saba ya story ya mteja wa SKNFX
08 Sehemu ya nane ya story ya mteja wa SKNFX
09 Sehemu ya tisa ya story ya mteja wa SKNFX
10 Sehemu ya kumi ya story ya mteja wa SKNFX
11 Sehemu ya kumi na moja ya story ya mteja wa SKNFX
1 / 11

Endelea kuswipe kuona hatua zote za story

SHUHUDA ZA WATEJA

WATEJA WETU WENGINE WALIKUA NA HAYA YA KUSEMA

Swipe kulia kutazama shuhuda zaidi

Endelea kuswipe kuona shuhuda zote

SOMA HII KWANZA

USIHANGAIKE KUTUTAFUTA TUKUTIBU KAMA UNA HIZI SIFA 04

01

Unaona 75,000/= ni kubwa sana

02

Hauna uvumilivu, yani wewe hauko tayari kufubaa kwa muda wakati wa matibabu

03

Unataka kutakata ndani ya siku 03 tuu tena kwa bei chee

04

Hutaki kuacha kupaka vibomu, unaogopa kufubaa

WEWE ENDELEA NA VIPAKO VYAKO, FAINALI ITAKUA NI UZEENI

OFA MAALUM YA LEO

KAMA UNAHITAJI SETI HII LEO KWA BEI YA OFA YA 75,000/=

Seti ya SKNFX yenye AMINO Acid Facewash, SKNFX Barrier Repair Gel na Anua Zero Cast Sunscreen BIDHAA 03
Seti Kamili Ya Matibabu
SETI NZIMA 75,000/= TUU

KAMA UNAHITAJI SETI HII LAKINI SIO LEO

Jaza taarifa zako hapa.

JAZA TAARIFA ZAKO HAPA
TUNA OFISI DAR ES SALAAM

TUNA OFISI KARIAKOO, DAR ES SALAAM

JINA LA OFISI

SKNFX Skincare

MAHALI

Mtaa wa Kariakoo na Jangwani

SIMU/WHATSAPP 0719 040 574
MUDA WA KAZI

Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 12 jioni

RAMANI YA OFISI Pata njia rahisi ya kufika
PATA MAELEKEZO YA KUFIKA OFISINI

SKNFX Skincare — Kariakoo, Dar es Salaam

KABLA HUJAAGIZA

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Bonyeza swali kuona jibu lake.

01 Seti hii inatumikaje?

Baada ya kuosha uso na AMINO Acid Cleanser, unapaka SKNFX Repair Gel asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Sunscreen unapaka asubuhi tuu.

02 Inafaa kwa ngozi aina gani?

Inafaa kwa ngozi aina zote.

03 Nitaitumia kwa muda gani?

Tube moja inatumika mwezi 01 hadi 02.

04 Delivery ni bure au inalipiwa?

Kwa Dar es Salaam delivery ni buree.

Kwa mikoani utatuma kwanza 5,000/= ili utumiwe mzigo. Pesa inayobaki, yani 70,000/=, utalipia ukishapokea mzigo.

05 Nitalipaje?

Kwa Dar es Salaam, malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.

Kwa mikoani, unatuma kwanza 5,000/= na pesa inayobaki unamalizia baada ya kupokea mzigo.

06 Wateja wa nje ya Dar wanatuma kiasi gani kwanza?

Utatuma 5,000/= tuu. Pesa inayobaki, yani 70,000/=, utamalizia ukishapokea mzigo.

07 Naweza kuagiza bidhaa moja pekee?

Ndio. Unaweza kuagiza bidhaa moja pekee kwa bei hizi:

  • AMINO Acid Cleanser 30,000/=
  • SKNFX Barrier Repair Gel 45,000/=
  • Anua Zero Cast Sunscreen 45,000/=
08 Nikianza kutumia, ninaweza kuendelea na vipodozi nilivyonavyo?

Hapana. Utaacha vipodozi ulivyokuwa unatumia, hasa kama vilikuwa vya kuchubua.

09 Ofa ya 75,000/= inaisha lini?

Ofa hii ni maalum kwa watu 10 tuu watakao weka oda leo.

ANGALIA OFA YA 75,000/=
SETI YA BIDHAA 03
75,000/= TUU
ANGALIA OFA