UNATAMANI KUPATA RANGI NZURI KAMA HII ISIYO NA CHUNUSI, MADOA WALA MABAKA??

Picha ya mwanamke katika mwanga wa jua

Usifanye Hili Kosa 01 Ambalo Wengi Hulifanya Wakidhani Wanang’arisha Ngozi

Lakini Kumbe Wanaharibu Ngozi Zao Bila Kujua!!

JUU YA NGOZI KUNA UKUTA MAALUM

Ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 03

01

Kulinda Ngozi Isipoteze Maji

02

Kuzuia Wadudu Na Uchafu Visiingie Ndani Ya Ngozi

03

Kuzuia Vipodozi Visiingie Ndani Zaidi Ya Ngozi Ambako Havitakiwi Kufika

TATIZO NI KWAMBA WATU WENGI HUUBOMOA UKUTA HUO KILA SIKU BILA KUJUA

Hasa Wanapotumia vipodozi vya kung’arisha haraka vyenye mercury,steroid na Hydroquinone bila kujua.

UKUTA UNAPOBOMOKA NGOZI INABAKI UCHI BILA ULINZI

Matokeo Yake

  1. Unawashwa na kuchomwachomwa zaidi

  2. Ngozi inakuwa kavu na inakakamaa

  3. Chunusi na vipele vinajirudia mara kwa mara

  4. Unapata mba na utangotango

  5. Madoa hayaishi

  6. Mafuta yanazidi kuongezeka usoni

  7. Weusi unaongezeka ukiacha cream

  8. Wekundu unarudi kila mara

UNAANZA KUONA KAMA UNA MATATIZO MENGI SANA USONI

Lakini kumbe una tatizo moja tuu:

UKUTA UNAOLINDA NGOZI YAKO UMEBOMOKA

KUENDELEA KUBADILI VIPODOZI BILA KUJENGA UPYA UKUTA HUO HAITAKUSAIDIA

Utakua unapaka rangi ukuta uliopasuka badala ya kuujenga upya.

UKIUJENGA UPYA UKUTA HUO:

01

Ngozi itaweza kujilinda dhidi ya uchafu, wadudu na vitu vingine vya nje.

02

Vipodozi havitaingia ndani zaidi na kukuletea madhara yasiyohitajika.

03

Mabaka, madoa na chunusi vitapungua na ngozi yako itaanza kuonekana yenye afya na rangi ya kuvutia.

KUJENGA UPYA NGOZI

UKITAKA KUJENGA UPYA UKUTA WA NGOZI YAKO HAINA TOFAUTI NA KUJENGA UKUTA WA NYUMBA

Ni lazima uwe na hivi vitu 05 muhimu

01

CERAMIDES

Matofali Ya Kujengea

Bila matofali hauwezi kujenga ukuta.

02

CHOLESTEROL

Saruji/Cement

Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali pamoja.

03

HYALURONIC ACID

Maji Ya Kujengea

Maji ni muhimu kwenye kuchanganyia cement na mchanga.

04

PANTHENOL

Fundi Wa Kujenga

Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali na kuchanganya cement.

05

NIACINAMIDE

Mlinzi Wa Ukuta

Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza. Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.

UKINUNUA KIMOJA KIMOJA

Bidhaa tofauti zenye hivyo viambata zinaweza kukugharimu hadi

175,000/= AU ZAIDI

UKIHITAJI SHORTCUT TUMIA HIZI FACECREAM ZA KUNG’ARISHA AMBAZO BAADHI HUUZWA HADI 15,000/=

Ukizitumia utatakata ndani ya siku tatu tuu.

Lakini baada ya muda NGOZI ITAHARIBIKA ZAIDI.

Mfano wa facecream za bei nafuu na ngozi iliyoharibika
Vipodozi vya kung'arisha pamoja na mfano wa ngozi iliyoharibika
Facecream mbalimbali pamoja na mfano wa ngozi iliyoharibika

SASA BADALA YA KUNUNUA HIZO FACECREAM UNAWEZA NUNUA HII BIDHAA MOJA TUU

YENYE HIVYO VIAMBATA 05 MUHIMU

SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel

HAICHUBUI

INATUMIKA KWA NGOZI AINA ZOTE

BEI YAKE NI NAFUU SANA

NI RAHISI KUTUMIA

JINSI YA KUTUMIA

  1. Osha na usafishe uso wako vizuri.

  2. Kausha uso wako kwa upole bila kuusugua.

  3. Paka SKNFX Barrier Repair Gel.

SHUHUDA ZA WATEJA

HAWA NI BAADHI YA WATEJA WALIOITUMIA NA KUPATA MATOKEO MAZURI!

Ushuhuda wa mteja wa kwanza
Ushuhuda wa mteja wa pili
Ushuhuda wa mteja wa tatu
Ushuhuda wa mteja wa nne
OFA MAALUM YA LEO

BIDHAA HUA INAUZWA 65,000/=

LAKINI UKIAGIZA LEO UTALIPIA

35,000/= TUU
SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel
SKNFX BAOBAB SKIN BARRIER REPAIR GEL

PIA KUNA ZAWADI YA SABUNI MAALUM KWA WATU 10 TUU WATAKAOAGIZA LEO

AMINO Acid Facewash iliyofungwa kama zawadi ya bure

SABUNI HII ITAKUSAIDIA

01

Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

02

Kupunguza mafuta na chunusi

03

Kung’arisha ngozi

BEI YAKE HUA NI 25,000/=

LAKINI KAMA UKIWAHI UTAPEWA BUREE!

HIVYO UKIWAHI UKAAGIZA LEO UTAPATA VITU VIWILI KWA 35,000/= TUU

SKNFX Barrier Repair Gel pamoja na AMINO Acid Facewash ya bure

TUNAPATIKANA

Kariakoo, Dar Es Salaam Mtaa wa Kariakoo na Jangwani

MAWASILIANO

0694 655 607

WhatsApp na simu ya kawaida

WASILIANA NASI WHATSAPP
SKNFX REPAIR GEL
35,000/= + Facewash BUREE
ANGALIA OFA