Kulinda Ngozi Isipoteze Maji
Lakini kumbe unaharibu hiki kitu kimoja muhimu sana kwenye ngozi.
Hali inayopelekea hata vipodozi sahihi vikuletee madhara zaidi.
Ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 03
Kulinda Ngozi Isipoteze Maji
Kuzuia Wadudu Na Uchafu Visiingie Ndani Ya Ngozi
Kuzuia Vipodozi Visiingie Ndani Zaidi Ya Ngozi Ambako Havitakiwi Kufika
Hasa wanapotumia vipodozi ambavyo sio sahihi au wanapokosea matumizi.
Unapopaka vipodozi vya kukusaidia, vinaingia ndani zaidi ya ngozi na kuleta madhara.
Unakua kama unatia chumvi kwenye kidonda.
MATOKEO YAKE:
Unawashwa na kuchomwachomwa zaidi
Ngozi inakuwa kavu na inakakamaa
Chunusi na vipele vinajirudia mara kwa mara
Madoa hayaishi
Mafuta yanazidi kuongezeka usoni
Weusi unaongezeka ukiacha cream
Wekundu unarudi kila mara
Lakini kumbe una tatizo moja tuu:
UKIJENGA UPYA UKUTA HUO:
Ngozi itaweza kujilinda dhidi ya uchafu, wadudu na vitu vingine vya nje.
Vipodozi havitaingia ndani zaidi na kukuletea madhara yasiyohitajika.
Mabaka, madoa na chunusi vitapungua na ngozi yako itaanza kuonekana yenye afya na rangi ya kuvutia.
Ni lazima uwe na hivi vitu 05 muhimu
Bila matofali hauwezi kujenga ukuta.
Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali pamoja.
Maji ni muhimu kwenye kuchanganyia cement na mchanga.
Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali na kuchanganya cement.
Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza. Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.
Bidhaa tofauti zenye hivyo viambata zinaweza kukugharimu hadi
175,000/= AU ZAIDILAKINI BAADAE UTAJUTA
Ukizitumia utatakata ndani ya siku tatu tuu.
Hakuna chunusi, madoa, mabaka, wekundu wala makunyanzi yatabakia.
Lakini baada ya muda unaweza kuhisi zimekukataa.
Uso utaharibika zaidi na ukiendelea kubadili facecream bila kujenga upya ngozi yako, utajikuta uso wako umefika hivi.
SULUHISHO LA KUDUMU NI KUJENGA KWANZA NGOZI YAKO
YENYE HIVYO VIAMBATA 05 MUHIMU
HAICHUBUI
INATUMIKA KWA NGOZI AINA ZOTE
BEI YAKE NI NAFUU SANA
NI RAHISI KUTUMIA
Osha na usafishe uso wako vizuri.
↓Kausha uso wako kwa upole bila kuusugua.
↓Baada ya kuosha uso wako, paka SKNFX Barrier Repair Gel.
HATUA 03 TUU RAHISI KUFUATA
SWIPE KULIA KUTAZAMA VIDEO ZAIDI
→HAWA NI BAADHI YA WATEJA WALIOITUMIA
SWIPE KULIA KUSOMA SHUHUDA ZAIDI
→
LAKINI UKIAGIZA LEO UTALIPIA
Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni
Kupunguza mafuta na chunusi
Kung’arisha ngozi
BEI YAKE HUA NI 25,000/=
LAKINI KAMA UKIWAHI UTAPEWA BUREE!
KAMA UNAHITAJI HII BIDHAA LAKINI SIO LEO
JAZA TAARIFA ZAKO HAPA →Unapaka baada ya kuosha uso wako.
Inafaa kwa ngozi aina zote.
Chupa moja inatumika mwezi 01 hadi 02.
Ndio.
Ndio, delivery ya Dar es Salaam ni buree.
Mkoani utatuma kwanza 5,000/= alaf pesa inayobaki 30,000/= utamalizia ukishapokea mzigo.
Zawadi ya facewash ni kwa watu 10 tuu watakaowahi.
Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakaowahi leo.
Ndio, lakini utalipia 25,000/=
Malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.