KILA SIKU UNAFANYA HILI KOSA 01 BILA KUJUA UKIDHANI UNATIBU TATIZO

Lakini Kumbe Unaharibu Hiki Kitu Kimoja Muhimu Sana Kwenye Ngozi Hali inayopelekea Ata Vipodozi Sahihi Vikuletee Madhara Zaidi

Juu ya Ngozi kuna ukuta maalum ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 02

✅Kulinda Ngozi isipoteze maji

✅ Kuzuia wadudu na uchafu kuingia ndani ya Ngozi

Sasa tatizo ni kwamba kila siku unaubomoa ukuta huo bila kujua.

⚠️ Hasa unapopaka na kutumia vipodozi ambavyo sio sahihi, mfano:

Mafuta
Lotion
Cream
 Serum
Scrub
Sunscreen
Tube za pharmacy n.k.

Ukuta huu unapobomoka

Ngozi inapoteza maji inakua kavu ina kakamaa na inakua rahisi kutengeneza mikunjo

Wadudu, uchafu vinaingia ndani na kusababisha chunusi,mba,utangotango n.k

Hata Baadhi ya vipodozi vilivyotakiwa kukusaidia vinaingia ndani zaidi na kukuongezea matatizo!!

Maana unapovipaka unakuwa kama unazima moto kwa petroli.

Matokeo yake:

1.Unawashwa na kuchomwachomwa zaidi

2.Ngozi inakuwa kavu na inakakamaa

3.Chunusi na vipele vya mara kwa mara

4.Madoa hayaishi

5.Mafuta yanazidi kuongezeka usoni

6.Weusi unaongezeka ukiacha cream

7.Wekundu unarudi kila mara

😔 Matokeo yake ngozi inafubaa na inakosa nuru

Unaanza kudhani una matatizo mengi sana usoni lakini kumbe una tatizo moja tuu

Ukuta unaolinda ngozi yako umebomoka

Bahati mbaya unaongeza tatizo zaidi bila kujua unapokimbilia kubadili cream kila mara kwasababu

Kwa sababu wauza vipodozi wengi wataishia kukuambia:

🔴 Una chunusi? Tumia hii kukausha.

🟤 Una madoa? Tumia hii kuyafuta.

🌡️ Una wekundu? Tumia hii kuuondoa.

💧 Una mafuta mengi? Tumia hii kuyakausha.

👵 Una mikunjo? Tumia hii.

⚫ Una weusi sugu? Tumia hii.

❌ Lakini hawajui kwamba hayo yote si matatizo tofauti.

Hizo zote ni dalili za tatizo moja kubwa ulilonalo.

Yaani ukuta unaolinda ngozi yako umeharibika.

Hivyo Unajikuta una rundo la vipodozi ambavyo vinaenda kubomoa zaidi Ngozi yako
na kukuongeza tatizo

Ukweli ni kwamba hakuna kipodozi kitakusaidia usipoanza kwa kujenga upya ukuta huo unaolinda Ngozi yako

🧱 Ukijenga upya ukuta huo:

1.Ngozi itaweza kujilinda dhidi ya uchafu, wadudu na vitu vingine vya nje.

2.Vipodozi havitaingia ndani zaidi na kukuletea madhara yasiyohitajika.

✨ Ngozi itapata nafasi ya kupumua na kujitibia yenyewe.

Kwa sababu hautakuwa unaishambulia kila siku kama zamani.

Ukitaka Kujenga Upya Ukuta Wa Ngozi Yako Haina Tofauti Na Kujenga Ukuta Wa Nyumba!!!

Ni lazima Uwe Na Hivi Vitu 05 Muhimu

1.Matofali Ya Kujengea [CERAMIDES]

Bila matofali hauwezi kujenga ukuta

2.Saruji/cement [Cholesterol]

Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali Pamoja

3.Maji ya Kujengea [Hyaluronic Acid]

Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali Pamoja

4.Fundi wa Kujenga [Panthenol]

Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali kuchanganya cement n.k

5.Mlinzi wa Ukuta [Niacinamide]

Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza.

Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.

Ukikosa hata kimoja kati ya hivi, ukuta wa ngozi unakuwa dhaifu na matatizo kama chunusi, wekundu, ngozi kukauka na kuwashwa huongezeka.

Ukisema Ununue Kila Kimoja Peke yake peke yake Utatumia gharama kubwa sana

Ndio maana tumekuletea hii bidhaa moja yenye hivyo viambata 05 muhimu
SKNFX BARRIER REPAIR GEL

Bidhaa hii itakusaidia kujenga upya ukuta wa ngozi yako na kukusaidia kupambana na changamoto sugu za ngozi usoni

Usiamini Maneno Yetu Tuu !!! Hawa Ni baadhi Ya Wateja Wetu

Hivi Ndio Vitu 06 Vinavyoifanya Bidhaa Hii Kukupa Matokeo Ya Uhakika

1.Ceramides,lipids,
cholesterol

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi vipodozi,jua n.k

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Vitamin C

Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa

5.Pethanol,B glucan

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

6.Peptides

Huondoa mikunjo usoni

Hawa Ni Wateja Wetu Wengine Walikua Na Haya Ya Kusema

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!