Lifahamu Hili Kosa Moja Linaloweza Kusababisha Hata Vipodozi Vya Gharama Visikupe Matokeo!!
Kosa hili huanzia hapa
Wengi wanapoenda kununua vipodozi
Au hata kupima Ngozi kwa ofa za buree
huishia kuambiwa
Una madoa tumia hii kuyafuta
Una chunusi tumia hii kuzikausha
Una mafuta mengi tumia hii kuyakausha
Una hiki tumia hiki
Unajikuta una rundo la vipodozi vya gharama lakini bado tatizo haliishi!!
Sio kwasababu vipodozi ni vibaya au havifanyi kazi
Ni kwasababu unahangaika na dalili badala ya tatizo lenyewe
Mfano Ukiwa Na Malaria
Ukakimbilia kununua dawa
Utajikuta una dawa nyingi za kukupa tuu nafuu
lakini malaria itaendelea kukutesa
Wakati ungemeza tuu dawa moja ya malaria
ungepona na ingetibu hadi hizo dalili nyingine
Tunapatikana
Kariakoo/Jangwani
0694655607