Tatizo Kubwa Ni Kwamba Ni ngumu sana kupata viambata hivyo vyote katika kipodozi kimoja
Lakini Pia kuvipata katika kiwango kinachoruhusiwa na madaktari ili kukupa matokeo ya kudumu
Pia ata ukifanikiwa kuvipata ni kwa gharama kubwa
Kama unatamani kupata viambata vyote 6 na zaidi
Unaweza kutazama hiki kipodozi maalum kutoka korea kunachotumiwa sana na madaktari bingwa wa ngozi lakini pia kina mawakala wake hapa Tanzania
@WHO 2025