SKNFX

Hiki Ndicho Nilichokigundua Baada Ya Kupima Ngozi Watu Zaidi Ya 500!!

Unauona huo wekundu niliouzungushia upande wa kulia??

Ni vidonda vingi vidogovidogo visivyoonekana kwa macho ya kawaida

Vidonda hivyo ndio mzizi wa matatizo mengi sana usoni na watu wengi hawajui hilo

Vinapoongezeka huonekana kama wekundu hasa mashavuni

Na unapochomwa na jua wekundu huu huongezeka zaidi

Pia huwasha sana na ukipaka chochote unahisi kuchomwachomwa au kuungua

Unakua kama umemwaga chumvi kwenye kidonda

Na kwasababu vidonda hivi viko wazi

Ngozi Hupoteza maji kwa urahisi
uso unakua mkavu,unafubaa inakua rahisi kutengeneza mikunjo

Ngozi hujaribu kuzuia maji yasipotee kwa kuzalisha mafuta zaidi

Lakini huishia kukauka zaidi kwasababu maji huendelea kupotea

Na ikikauka zaidi huanza kubabuka na kubanduka

Vidonda vinazidi kua wazi inakua rahisi wadudu kuingia na kuzaliana

Wadudu hao wanasababisha vipele, mba utangotango na chunusi za mara kwa mara

Na vikianza kupona vinatengeneza makovu ambayo huonekana kama madoa usoni

Madoa sugu ni dalili ya vidonda ambavyo bado havijapona vizuri

Dalili hizi sio lazima zitokee kwa mtiririko huu hutegemea na mtu,wingi na ukubwa wa vidonda

Unaweza kudhani una matatizo mengi ya Ngozi kumbe una Tatizo moja tuu
Ngozi yako ina vidonda visivyoonekana

Hivyo imepoteza uwezo wake wa kujilinda
Kitu ambacho ndio msingi wa Ngozi yenye afya na mvuto

Hauwezi kutibu changamoto yoyote ya Ngozi kama tayari msingi umeharibika

Ndio maana Kutumia vipodozi vya gharama bila kujenga msingi imara

Ni sawa na kujenga nyumba ya gharama kwenye msingi mbovu
Itaanguka tuu

Hivyo hatua ya kwanza na ya muhimu ni kujenga msingi imara wa Ngozi yako
Yani kutibu vile vidonda na kurejesha uwezo wa Ngozi kujilinda

Kama unahitaji kufahamu hali ya msingi wa Ngozi yako
Na hatua 04 muhimu za kuuimarisha kama tayari umeharibika

Jaza Taarifa Zako Hapo Chini Kutumiwa Melekezo Zaidi BUREE whatsapp