AMINO ACID
Husafisha uso kwa upole bila kuikausha.
Usifanye Hili Kosa 01 Ambalo Wengi Hulifanya Bila Kujua Wanapoosha Uso
Na Kusababisha Uso Ufubae Badala Ya Kutakata!!
Ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 03
Kulinda Ngozi Isipoteze Maji
Kuzuia Wadudu Na Uchafu Visiingie Ndani Ya Ngozi
Kuzuia Vipodozi Visiingie Ndani Zaidi Ya Ngozi Ambako Havitakiwi Kufika
Hasa Wanapoosha Uso Na Baadhi Ya Sabuni Za Vipande Na Facewash Zisizofaa
Unapopaka vipodozi vya kukusaidia, vinaingia ndani zaidi ya ngozi na kuleta madhara.
Unakua kama unatia chumvi kwenye kidonda.
Ngozi inakua kavu na inakakamaa
Unawashwa na kuchomwachomwa
Uso unakua hauna rangi moja
Uso unakua sio soft
Chunusi na vipele vinajirudia mara kwa mara
Madoa Hayaishi
Mafuta yanaongezeka
Weusi unaongezeka ukiacha cream
Unaanza kupata wekundu ukipaka cream
Unapata Mba na utangotango
UNAANZA KUHISI KAMA UNA MATATIZO MENGI KUMBE SABABU NI SABUNI TUU UNAYOTUMIA KUSAFISHIA USO WAKO!!
Tumekuletea hii TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER mpya
Husafisha uso kwa upole
Haifanyi ngozi ikauke wala kukakamaa
Inafaa kwa ngozi aina zote
Inafaa hata kwa ngozi sensitive
Soma maoni yao hapa chini.
Ambavyo hata cleanser nyingi za gharama hazina.
Husafisha uso kwa upole bila kuikausha.
Husaidia kuondoa ngozi iliyokufa.
Hung’arisha na kusaidia uzalishwaji wa collagen.
Hutuliza na kung’arisha ngozi.
Husaidia kuongeza unyevu kwenye ngozi.
Inapunguza mafuta na chunusi usoni
Inang’arisha ngozi na kufuta madoa na mabaka
Huimarisha ngozi na kupunguza mikunjo
Inasafisha uso bila kuifanya ngozi kua kavu, kukakamaa wala kuwasha
Inafaa kwa ngozi aina zote, hata ngozi sensitive.
YENYE THAMANI YA 35,000/= BUREE
Serum hii itakusaidia Kukausha chunusi,kufuta madoa,mabaka na kung'arisha ngozi
Delivery ni buree
BONYEZA HAPA KUAGIZA →Bonyeza hapa kuona utaratibu wa mikoani
BONYEZA HAPA KUAGIZA →KAMA UNAHITAJI BIDHAA HII LAKINI SIO LEO
JAZA TAARIFA ZAKO HAPA →Utapata tube 01 ya Turmeric Refreshing Facial Cleanser kwa 30,000/= badala ya 60,000/=. Ukiwa miongoni mwa watu 10 tuu wa kwanza kuagiza leo, utapata pia zawadi ya Serum ya TURMERIC yenye thamani ya 35,000/= buree.
Ndiyo, hutalipia serum tofauti. Zawadi hii ni kwa watu 10 tuu wa kwanza watakaowahi kuagiza leo.
Serum hii inalenga kusaidia Kungarisha ngozi,kufuta madoa na mabaka na kukausha chunusi.
Kwa utaratibu huu, tumia cleanser mara moja kila asubuhi. Fuata pia maelekezo yaliyo kwenye bidhaa.
Unaweza kumalizia na mafuta ya uso yanayoifaa ngozi yako baada ya serum. Kama bidhaa unayotumia inakuwasha au kukuletea wekundu, usiendelee kuitumia bila kupata ushauri.
Muda hutegemea kiasi unachotumia kila siku. Tumia kiasi kidogo kulingana na maelekezo ya bidhaa.
Muda wa kuona mabadiliko hutofautiana kulingana na ngozi na tatizo ulilonalo. Lakini wengi huona mabadiriko ndani ya siku 28.
Ndiyo. Kwa wateja wa Dar es Salaam, delivery ni buree na malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.
Bonyeza hapa kuagiza ukiwa Dar es Salaam →Ukiwa nje ya Dar es Salaam, utatuma kwanza 5,000/= ili mzigo utumwe. Pesa inayobaki utamalizia baada ya kupokea mzigo.
Bonyeza hapa kuona utaratibu wa mikoani →Ndiyo. Unaweza kufuata bidhaa kwenye ofisi yetu iliyopo Kariakoo, Dar es Salaam.
SKNFX Skincare
Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
Saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni
Unaweza kuagiza bidhaa au kuja kuichukua moja kwa moja ofisini.