Bonyeza video uitazame
Suluhisho rahisi na la kudumu ni hii
Watapewa pia zawadi ya
SERUM YA TURMERICYenye thamani ya 35,000/=
BUREEKila siku chunusi zinaisha na kurudi
Madoa yanazidi kuongezeka
Unatibu melasma haiishi
Na ikiisha, baada ya muda inarudi tena
Mabaka yamegoma kuisha usoni
Wakati mwingine yanaisha, lakini ukiacha tuu cream, uso unafubaa
Uso unakua mweusi na mabaka yanarudi
Uso unazidi kua mkavu na makunyanzi yanaongezeka
Unajikuta unapoteza pesa zaidi huku uso ukizidi kuharibika.
Ngozi yako ya uso haina tofauti na shamba.
Ili shamba likupe mavuno mazuri, lazima utumie muda mwingi kwenye kuliandaa shamba lako.
Ikitokea hujaandaa shamba vizuri, hata utumie mbegu za gharama kiasi gani, hautapata matokeo mazuri.
Ukitaka upate rangi nzuri isiyo na kasoro, lazima uiandae ngozi yako kwa usahihi kabla hujapaka vipodozi vyako.
Kupaka vipodozi vya gharama kwenye uso ambao haujaandaliwa vizuri ni sawa na kupanda mbegu za gharama kwenye shamba ambalo halijaandaliwa vizuri— hautapata matokeo mazuri.
Bahati mbaya wengi wanapoona hizo dalili hudhani ndio wanasafisha uso kwa usahihi.
Uso unakua mkavu na mafuta yanakauka
Ngozi inakua ngumu, sio laini
Muda mwingine hadi ngozi inakakamaa
Unahisi hadi ngozi inavuta
Muda mwingine hadi unawashwa na kuchomwachomwa
Unapokuja kupaka vipodozi vyako vya gharama vinaingia ndani zaidi ambako havikutakiwa kufika na kukuletea madhara zaidi badala ya kukusaidia.
Tumekuletea hii TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER mpya
Husafisha uso kwa upole
Haifanyi ngozi ikauke wala kukakamaa
Inafaa kwa ngozi aina zote
Inafaa hata kwa ngozi sensitive
Swipe kulia kutazama video zaidi
→Bonyeza video uitazame
Bonyeza video uitazame
Bonyeza video uitazame
Soma maoni yao hapa chini.
Ambavyo hata cleanser nyingi za gharama hazina.
Husafisha uso kwa upole bila kuikausha.
Husaidia kuondoa ngozi iliyokufa.
Hung’arisha na kusaidia uzalishwaji wa collagen.
Hutuliza na kung’arisha ngozi.
Husaidia kuongeza unyevu kwenye ngozi.
Inapunguza mafuta na chunusi usoni
Inang’arisha ngozi na kufuta madoa na mabaka
Huimarisha ngozi na kupunguza mikunjo
Inasafisha uso bila kuifanya ngozi kua kavu, kukakamaa wala kuwasha
Inafaa kwa ngozi aina zote, hata ngozi sensitive.
YENYE THAMANI YA 35,000/= BUREE
Serum hii itakusaidia Kukausha chunusi,kufuta madoa,mabaka na kung'arisha ngozi
Delivery ni buree
BONYEZA HAPA KUAGIZA →Bonyeza hapa kuona utaratibu wa mikoani
BONYEZA HAPA KUAGIZA →KAMA UNAHITAJI BIDHAA HII LAKINI SIO LEO
JAZA TAARIFA ZAKO HAPA →Utapata tube 01 ya Turmeric Refreshing Facial Cleanser kwa 30,000/= badala ya 60,000/=. Ukiwa miongoni mwa watu 10 tuu wa kwanza kuagiza leo, utapata pia zawadi ya Serum ya TURMERIC yenye thamani ya 35,000/= buree.
Ndiyo, hutalipia serum tofauti. Zawadi hii ni kwa watu 10 tuu wa kwanza watakaowahi kuagiza leo.
Serum hii inalenga kusaidia Kungarisha ngozi,kufuta madoa na mabaka na kukausha chunusi.
Kwa utaratibu huu, tumia cleanser mara moja kila asubuhi. Fuata pia maelekezo yaliyo kwenye bidhaa.
Unaweza kumalizia na mafuta ya uso yanayoifaa ngozi yako baada ya serum. Kama bidhaa unayotumia inakuwasha au kukuletea wekundu, usiendelee kuitumia bila kupata ushauri.
Muda hutegemea kiasi unachotumia kila siku. Tumia kiasi kidogo kulingana na maelekezo ya bidhaa.
Muda wa kuona mabadiliko hutofautiana kulingana na ngozi na tatizo ulilonalo. Lakini wengi huona mabadiriko ndani ya siku 28.
Ndiyo. Kwa wateja wa Dar es Salaam, delivery ni buree na malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.
Bonyeza hapa kuagiza ukiwa Dar es Salaam →Ukiwa nje ya Dar es Salaam, utatuma kwanza 5,000/= ili mzigo utumwe. Pesa inayobaki utamalizia baada ya kupokea mzigo.
Bonyeza hapa kuona utaratibu wa mikoani →Ndiyo. Unaweza kufuata bidhaa kwenye ofisi yetu iliyopo Kariakoo, Dar es Salaam.
SKNFX Skincare
Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
Saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni
Unaweza kuagiza bidhaa au kuja kuichukua moja kwa moja ofisini.